We are working towards a world where #adolescent #girls can enjoy their #humanrights and reach their full potential.
We STAND FOR HUMANITY, representatives of children and youth working in a field of Reproductive health and the fight of HIV/AIDS in particular and development, joined together, within the framework of the Children and Youth forum on “Greater and effective Youth Participation in Tanzania’s Development.
The Global Goals
QUIZ: Which of the #GlobalGoals does our #SRH work help to advance, and how? Hint: There's more than one! #SRHR
UKATILI KWA WATOTO HAUNA BUDI KUKEMEWA KWA NGUVU ZOTE.
Ili kukomesha vitendo vya ukatili dhidi ya watoto vilivyoshamiri kwa kasi siku za hivi karibuni Mahakama zinatakiwa kuhakikisha zinakamata, zinachunguza, zinawafikisha mahakamani washtakiwa wote wa uhalifu huo na kuhakikisha adhabu kali inatolewa kwa wakosaji, ili kuwa fundisho kwa wengine.Inasikitisha sana kuona kesi nyingi za watoto kuhusu ubakaji, utesaji, utelekezaji, kuchomwa moto, kufungiwa ndani na matukio mengine mabaya kama hayo yanachukua muda mrefu baada ya kufika mahakamani na aghalab washtakiwa huonekana katika jamii wakiendelea na shughuli zao kama kawaida huku watoto wakiwa tayari wameathirika kisaikolojia.
Kumekuwepo malalamiko ya kesi za ukatili wa watoto kuchukua muda mrefu mahakamani kwa visingizio kuwa upelelezi haujakamilika ama mashahidi hawatoshelezi, hali inayolaumiwa sana na jamii na kuwakatisha wengi tama ya kuripoti kesi hizo kwani wengi wanaona ni kupoteza muda bure.
MSIKILIZE MTOTO WAKO
Tafuta wakati wa kusikiliza maoni wa watoto.
Saa nyengine watoto hawaongei kwa sababu hawapatiwi fursa. Jaribu kuhakikisha kuna wakati na nafasi ya kila mtu katika jamii kuongea na pia kusikilizwa.
Sikiliza pia maneno ambayo hayasemekani. Kwa wengi, tabia huongea zaidi ya maneno. Je, mtoto ana jaribu kukuambia nini?
Sikiliza na shauri. Mpatie mtoto wako wakati wa kukuambia kisa au maneno yake.
Saidia watoto wako kutamka fikra na hisia zao kwa kuwasaidia kutafuta maneno au jinsi ya kuwasiliana na wewe.
Transforming Lives
“Ginger growing has made me a well-respected man in the community because I can afford to feed my family and send my kids to school.”
SEVERE MORNING SICKNESS TO PREGNANT WOMEN
WHAT CAUSES NAUSEA AND VOMITING DURING PREGNANCY ?
WILL NAUSEA AFFECT THE BABY ?
READING BOOKS TO BABIES
FAIDA ZA KUMSOMEA KITABU MTOTO
- Unamfunza mtoto njia za mawasiliano.
- Unamfundisha mtoto numbers, colours, alphabets ans shapes in a fun way.
- Inajenga usikilizaji, uongeaji, kumbukumbu nzuri nk.
- Unamjenga mtoto na ufahamu wa kujua vitu vilivyomzunguka, uwezo wa kufikiri na kujibu maswali.
PREGNANCY FITNESS
SAFE EXERCISE
NI UMRI GANI WATOTO WACHANGA WANAACHA MAZIWA YA MAMA NA KUTUMIA MAZIWA YA NG'OMBE ?
Watoto chini ya umri wa mwaka mmoja wanahitaji virutubisho kutoka kwenye maziwa ya mama au formula. Ni vizuri pia mtoto mwenye zaidi ya mwaka mmoja kuendelea kutumia maziwa ya mama. Watu wengi wanawaachisha watoto wao kunyonya mapema na kuanza kuwapa low-fat na skim milk ambayo kiafya sio mazuri kwa watoto chini ya mwaka mmoja kwasababu watoto wanahitaji fat in whole milk kwa ku support normal growth kiakili wakati wanapoanza kutambaa. Katika umri wa mwaka mmoja mtoto anatakiwa aanze kula vyakula mbali mbali ikiwemo kunywa maziwa vikombe 2-3 kwa siku. Ikiwa maziwa ya ng'ombe au formula yanasababisha allergy au other disorders kwa mtoto wako onana na daktari.
What are your thoughts ? Please share with us.FOOD POISONING
Dalili ya kawaida ya sumu katika chakula ni pamoja na kutapika, kuharisha, tumbo kuuma, kichefuchefu na homa na hii huanza muda mfupi baada ya kula chakula kilichoharibika bila kujua. Kwa watu wengi dalili ni kali na hujitokeza haraka, lakini sumu ya chakula inaweza kusababisha upungufu wa maji mwilini, kushindwa kwa figo na hata kifo.
Vyakula vingi vyenye uwezo wa kusababisha ugonjwa ni pamoja na nyama mbichi au iliyopikwa (E. coli), nyama ya nguruwe (bakteria na minyoo trichinella), kuku (Salmonella), dagaa ( hepatitis A na virus wengine na bacteria), na mayai (Salmonella). Matunda na mboga yanaweza pia kuwa machafu na virus kama vile hepatitis A na vimelea. Maziwa yasiochemshwa na juice ya matunda (hasa apple cider) yanaweza pia kuwa machafu.
FOOD SAFETY GUIDE
FOOD PYRAMID
Pyramid ya Chakula ni juu ya makundi matano makubwa ya chakula, ambayo yote yanahitajika kwa ajili ya afya njema. Pia inasisitizwa kwamba vyakula vyenye mafuta mengi na sukari vinatakiwa kutumiwa kwa kiasi kidogo.
Ingawa watu wengi wanapata msaada wa pyramid ya chakula, wengine wanafikiri kwamba ni vigumu kuelewa na inaweza hata kuwa moja ya sababu ya matatizo kwa watoto.
Nyama, Kuku, na Samaki inatoa mfano mwingine nzuri na kile kinachotokana na vyakula mchanganyiko, kama pizza. Kwa mfano, kumpa mtoto pizza bila kuhesabu kundi nafaka (mkusanyiko), kundi maziwa (cheese), na kundi mboga (nyanya).
Kama unaweza kuona, ni haraka mtu anapata utata wakati akijaribu kufikiri jinsi ya kiasi gani mtoto wake anakula kama unatumia Pyramid ya chakula kama mwongozo wa mipango ya mlo wa mtoto wako.
PIMPLES
Chunusi ni ugonjwa wa ngozi unaoathiri glands or vifuko vya ngozi, ambao hujitokeza kama vipele vidogo vidogo kwenye sehemu za mwili kama vile {Usoni,kifuani,mikononi na mgongoni}.Vipele hivi hutokea wakati vishimo vya kupitisha jasho kwenye vinapozibwa na mafuta au cells za ngozi zinapokufa kwa bacteria.
Chunusi hujitokeza umri wowote na kuathiri sana vijana especially during adolescence.
Ukubwa wa kipele unategemea na ngozi ya mtu au kiasi cha mchanganyiko wa mafuta na kusababisha mabaka katika ngozi.
CHANZO CHA CHUNUSI
- Umri
- Vipodozi
- Chakula
- Dawa {Antibiotics,vidonge vya uzazi,steroids nk.}
- Magonjwa
- Mazingira
- Jinsia {Wanaume huota sana chunusi kuliko wanawake}
- Hormones {Wakati wa periods na ujauzito}
- Usafi wa mwili {Sabuni zenye chemicals kali huongeza chunusi}
- Mawazo
Matibabu ya chunusi yanaondoa cells zilizokufa na kuua bacteria. Chunusi huweza kupona kwa kuacha mabaka ambayo huchukua muda kupotea.
NJIA ZA KUZUIA UOTAJI WA CHUNUSI
- Osha uso kwa maji safi na sabuni japo mara mbili
- Osha nywele zako kila baada ya kipindi kifupi
- Kula mlo kamili na epuka vyakula vyenye mafuta mengi
- Usibinye au kutoboa vipele kwa pini au kitu chenye ncha kali
- Epuka kukaa sana juani, mwangaza wa asubuhi ni mzuri kwa vitamin D
- Punguza mawazo.
STRETCH MARKS
Nimefikiria kuongea kuhusu stretch marks kwa sababu mbali mbali. Stretch marks ni mistari inayoota sehemu yoyote katika mwili wa binaadamu ambayo mafuta mengi yanakaa katika sehemu mbali mbali kama vile {Hips,tumbo,mapaja,chini ya mgongo,nyuma ya magoti,kifuani na kwenye mikono}. Stretch marks mara nyingi huota kutokana na mabadiliko ya hormones kwenye mwili,kipindi cha ukuwaji {adolescence},wakati wa ujauzito na kuongezeka mwili kutokana na unene ambapo ngozi inapanuka. Kwa mama wajawazito mara nyingi wanafanya stretch marks kwenye tumbo kutokana na ukuwaji wa tumbo lake. Watu wengine wanatumia creams mbali mbali na mafuta ya Bio oil, kwa kweli hakuna dawa au cream ambayo inaondoa stretch marks totally, ila zinafifia tu kwa muda lakini haziondoki. Unaweza ukaziwahi pale zinapoanza kuota kwa kufanya mazoezi na diet nzuri ya kupunguza mafuta. Kwa mujibu wa science stretch marks zinaota pale ngozi ya ndani inapojiacha na kupelekea ngozi ya nje kupanuka bila ya mpangilio maalum.
EXERSICE
Total views
Thursday, 25 February 2016
Human Rights
We are working towards a world where #adolescent #girls can enjoy their #humanrights and reach their full potential.
The Global Goals
QUIZ: Which of the #GlobalGoals does our #SRH work help to advance, and how? Hint: There's more than one! #SRHR
Wednesday, 25 March 2015
Wednesday, 18 March 2015

Wednesday, 11 March 2015
MSIKILIZE MTOTO WAKO
Tafuta wakati wa kusikiliza maoni wa watoto.
Saa nyengine watoto hawaongei kwa sababu hawapatiwi fursa. Jaribu kuhakikisha kuna wakati na nafasi ya kila mtu katika jamii kuongea na pia kusikilizwa.
Sikiliza pia maneno ambayo hayasemekani. Kwa wengi, tabia huongea zaidi ya maneno. Je, mtoto ana jaribu kukuambia nini?
Sikiliza na shauri. Mpatie mtoto wako wakati wa kukuambia kisa au maneno yake.
Saidia watoto wako kutamka fikra na hisia zao kwa kuwasaidia kutafuta maneno au jinsi ya kuwasiliana na wewe.
Friday, 7 November 2014
Transforming Lives
“Ginger growing has made me a well-respected man in the community because I can afford to feed my family and send my kids to school.”
Monday, 18 August 2014
Wednesday, 14 May 2014
Tuesday, 22 April 2014
SEVERE MORNING SICKNESS TO PREGNANT WOMEN
WHAT CAUSES NAUSEA AND VOMITING DURING PREGNANCY ?
WILL NAUSEA AFFECT THE BABY ?
Friday, 18 April 2014
READING BOOKS TO BABIES
FAIDA ZA KUMSOMEA KITABU MTOTO
- Unamfunza mtoto njia za mawasiliano.
- Unamfundisha mtoto numbers, colours, alphabets ans shapes in a fun way.
- Inajenga usikilizaji, uongeaji, kumbukumbu nzuri nk.
- Unamjenga mtoto na ufahamu wa kujua vitu vilivyomzunguka, uwezo wa kufikiri na kujibu maswali.
PREGNANCY FITNESS
SAFE EXERCISE
NI UMRI GANI WATOTO WACHANGA WANAACHA MAZIWA YA MAMA NA KUTUMIA MAZIWA YA NG'OMBE ?
Watoto chini ya umri wa mwaka mmoja wanahitaji virutubisho kutoka kwenye maziwa ya mama au formula. Ni vizuri pia mtoto mwenye zaidi ya mwaka mmoja kuendelea kutumia maziwa ya mama. Watu wengi wanawaachisha watoto wao kunyonya mapema na kuanza kuwapa low-fat na skim milk ambayo kiafya sio mazuri kwa watoto chini ya mwaka mmoja kwasababu watoto wanahitaji fat in whole milk kwa ku support normal growth kiakili wakati wanapoanza kutambaa. Katika umri wa mwaka mmoja mtoto anatakiwa aanze kula vyakula mbali mbali ikiwemo kunywa maziwa vikombe 2-3 kwa siku. Ikiwa maziwa ya ng'ombe au formula yanasababisha allergy au other disorders kwa mtoto wako onana na daktari.
What are your thoughts ? Please share with us.Saturday, 5 April 2014
Wednesday, 27 November 2013
FOOD POISONING
Dalili ya kawaida ya sumu katika chakula ni pamoja na kutapika, kuharisha, tumbo kuuma, kichefuchefu na homa na hii huanza muda mfupi baada ya kula chakula kilichoharibika bila kujua. Kwa watu wengi dalili ni kali na hujitokeza haraka, lakini sumu ya chakula inaweza kusababisha upungufu wa maji mwilini, kushindwa kwa figo na hata kifo.
Vyakula vingi vyenye uwezo wa kusababisha ugonjwa ni pamoja na nyama mbichi au iliyopikwa (E. coli), nyama ya nguruwe (bakteria na minyoo trichinella), kuku (Salmonella), dagaa ( hepatitis A na virus wengine na bacteria), na mayai (Salmonella). Matunda na mboga yanaweza pia kuwa machafu na virus kama vile hepatitis A na vimelea. Maziwa yasiochemshwa na juice ya matunda (hasa apple cider) yanaweza pia kuwa machafu.
FOOD SAFETY GUIDE
FOOD PYRAMID
Pyramid ya Chakula ni juu ya makundi matano makubwa ya chakula, ambayo yote yanahitajika kwa ajili ya afya njema. Pia inasisitizwa kwamba vyakula vyenye mafuta mengi na sukari vinatakiwa kutumiwa kwa kiasi kidogo.
Ingawa watu wengi wanapata msaada wa pyramid ya chakula, wengine wanafikiri kwamba ni vigumu kuelewa na inaweza hata kuwa moja ya sababu ya matatizo kwa watoto.
Nyama, Kuku, na Samaki inatoa mfano mwingine nzuri na kile kinachotokana na vyakula mchanganyiko, kama pizza. Kwa mfano, kumpa mtoto pizza bila kuhesabu kundi nafaka (mkusanyiko), kundi maziwa (cheese), na kundi mboga (nyanya).
Kama unaweza kuona, ni haraka mtu anapata utata wakati akijaribu kufikiri jinsi ya kiasi gani mtoto wake anakula kama unatumia Pyramid ya chakula kama mwongozo wa mipango ya mlo wa mtoto wako.
Thursday, 7 November 2013
Sunday, 3 November 2013
PIMPLES
Chunusi ni ugonjwa wa ngozi unaoathiri glands or vifuko vya ngozi, ambao hujitokeza kama vipele vidogo vidogo kwenye sehemu za mwili kama vile {Usoni,kifuani,mikononi na mgongoni}.Vipele hivi hutokea wakati vishimo vya kupitisha jasho kwenye vinapozibwa na mafuta au cells za ngozi zinapokufa kwa bacteria.
Chunusi hujitokeza umri wowote na kuathiri sana vijana especially during adolescence.
Ukubwa wa kipele unategemea na ngozi ya mtu au kiasi cha mchanganyiko wa mafuta na kusababisha mabaka katika ngozi.
CHANZO CHA CHUNUSI
- Umri
- Vipodozi
- Chakula
- Dawa {Antibiotics,vidonge vya uzazi,steroids nk.}
- Magonjwa
- Mazingira
- Jinsia {Wanaume huota sana chunusi kuliko wanawake}
- Hormones {Wakati wa periods na ujauzito}
- Usafi wa mwili {Sabuni zenye chemicals kali huongeza chunusi}
- Mawazo
Matibabu ya chunusi yanaondoa cells zilizokufa na kuua bacteria. Chunusi huweza kupona kwa kuacha mabaka ambayo huchukua muda kupotea.
NJIA ZA KUZUIA UOTAJI WA CHUNUSI
- Osha uso kwa maji safi na sabuni japo mara mbili
- Osha nywele zako kila baada ya kipindi kifupi
- Kula mlo kamili na epuka vyakula vyenye mafuta mengi
- Usibinye au kutoboa vipele kwa pini au kitu chenye ncha kali
- Epuka kukaa sana juani, mwangaza wa asubuhi ni mzuri kwa vitamin D
- Punguza mawazo.
STRETCH MARKS
Nimefikiria kuongea kuhusu stretch marks kwa sababu mbali mbali. Stretch marks ni mistari inayoota sehemu yoyote katika mwili wa binaadamu ambayo mafuta mengi yanakaa katika sehemu mbali mbali kama vile {Hips,tumbo,mapaja,chini ya mgongo,nyuma ya magoti,kifuani na kwenye mikono}. Stretch marks mara nyingi huota kutokana na mabadiliko ya hormones kwenye mwili,kipindi cha ukuwaji {adolescence},wakati wa ujauzito na kuongezeka mwili kutokana na unene ambapo ngozi inapanuka. Kwa mama wajawazito mara nyingi wanafanya stretch marks kwenye tumbo kutokana na ukuwaji wa tumbo lake. Watu wengine wanatumia creams mbali mbali na mafuta ya Bio oil, kwa kweli hakuna dawa au cream ambayo inaondoa stretch marks totally, ila zinafifia tu kwa muda lakini haziondoki. Unaweza ukaziwahi pale zinapoanza kuota kwa kufanya mazoezi na diet nzuri ya kupunguza mafuta. Kwa mujibu wa science stretch marks zinaota pale ngozi ya ndani inapojiacha na kupelekea ngozi ya nje kupanuka bila ya mpangilio maalum.
Saturday, 2 November 2013
EXERSICE
Social Icons