Stand For Humanity

I can’t think of any issue that is more important than working to see that no schoolchild in this world goes hungry.
Deaf,Blind and Dumb kids
#WeRiseByLiftingOthers
#stand_for_humanity

UKATILI KWA WATOTO HAUNA BUDI KUKEMEWA KWA NGUVU ZOTE.

Ili kukomesha vitendo vya ukatili  dhidi ya watoto vilivyoshamiri kwa kasi siku za hivi karibuni Mahakama zinatakiwa kuhakikisha zinakamata, zinachunguza, zinawafikisha mahakamani washtakiwa wote wa uhalifu huo na kuhakikisha adhabu kali inatolewa kwa wakosaji, ili kuwa fundisho kwa wengine.

Inasikitisha sana kuona kesi nyingi za watoto kuhusu ubakaji, utesaji, utelekezaji, kuchomwa moto, kufungiwa ndani na matukio mengine mabaya kama hayo yanachukua muda mrefu baada ya kufika mahakamani na aghalab washtakiwa huonekana katika jamii wakiendelea na shughuli zao kama kawaida huku watoto wakiwa tayari wameathirika kisaikolojia.

Kumekuwepo malalamiko ya kesi za ukatili wa watoto kuchukua muda mrefu mahakamani kwa visingizio kuwa upelelezi haujakamilika ama mashahidi hawatoshelezi, hali inayolaumiwa sana na jamii na kuwakatisha wengi tama ya kuripoti kesi hizo kwani wengi wanaona ni kupoteza muda bure.

MSIKILIZE MTOTO WAKO

Ukisikiliza watoto unawaambia umuhimu wao.
Tafuta wakati wa kusikiliza maoni wa watoto.
Saa nyengine watoto hawaongei kwa sababu hawapatiwi fursa. Jaribu kuhakikisha kuna wakati na nafasi ya kila mtu katika jamii kuongea na pia kusikilizwa.
Sikiliza pia maneno ambayo hayasemekani. Kwa wengi, tabia huongea zaidi ya maneno. Je, mtoto ana jaribu kukuambia nini?
Sikiliza na shauri. Mpatie mtoto wako wakati wa kukuambia kisa au maneno yake.
Saidia watoto wako kutamka fikra na hisia zao kwa kuwasaidia kutafuta maneno au jinsi ya kuwasiliana na wewe.

Total views

Wednesday, 25 March 2015

Stand For Humanity

I can’t think of any issue that is more important than working to see that no schoolchild in this world goes hungry.
Deaf,Blind and Dumb kids
#WeRiseByLiftingOthers
#stand_for_humanity

Wednesday, 18 March 2015

Wednesday, 11 March 2015

MSIKILIZE MTOTO WAKO

Ukisikiliza watoto unawaambia umuhimu wao.
Tafuta wakati wa kusikiliza maoni wa watoto.
Saa nyengine watoto hawaongei kwa sababu hawapatiwi fursa. Jaribu kuhakikisha kuna wakati na nafasi ya kila mtu katika jamii kuongea na pia kusikilizwa.
Sikiliza pia maneno ambayo hayasemekani. Kwa wengi, tabia huongea zaidi ya maneno. Je, mtoto ana jaribu kukuambia nini?
Sikiliza na shauri. Mpatie mtoto wako wakati wa kukuambia kisa au maneno yake.
Saidia watoto wako kutamka fikra na hisia zao kwa kuwasaidia kutafuta maneno au jinsi ya kuwasiliana na wewe.

Social Icons