Vyakula karibia vyote vina virus, bacteria, au vimelea na kusababisha sumu kwenye chakula. Vyakula pia vinaweza kukufanya wewe mgonjwa kama ni machafu na dawa au sumu nyingine
Dalili ya kawaida ya sumu katika chakula ni pamoja na kutapika, kuharisha, tumbo kuuma, kichefuchefu na homa na hii huanza muda mfupi baada ya kula chakula kilichoharibika bila kujua. Kwa watu wengi dalili ni kali na hujitokeza haraka, lakini sumu ya chakula inaweza kusababisha upungufu wa maji mwilini, kushindwa kwa figo na hata kifo.
Vyakula vingi vyenye uwezo wa kusababisha ugonjwa ni pamoja na nyama mbichi au iliyopikwa (E. coli), nyama ya nguruwe (bakteria na minyoo trichinella), kuku (Salmonella), dagaa ( hepatitis A na virus wengine na bacteria), na mayai (Salmonella). Matunda na mboga yanaweza pia kuwa machafu na virus kama vile hepatitis A na vimelea. Maziwa yasiochemshwa na juice ya matunda (hasa apple cider) yanaweza pia kuwa machafu.