Ukisikiliza watoto unawaambia umuhimu wao.
Tafuta wakati wa kusikiliza maoni wa watoto.
Saa nyengine watoto hawaongei kwa sababu hawapatiwi fursa. Jaribu kuhakikisha kuna wakati na nafasi ya kila mtu katika jamii kuongea na pia kusikilizwa.
Sikiliza pia maneno ambayo hayasemekani. Kwa wengi, tabia huongea zaidi ya maneno. Je, mtoto ana jaribu kukuambia nini?
Sikiliza na shauri. Mpatie mtoto wako wakati wa kukuambia kisa au maneno yake.
Saidia watoto wako kutamka fikra na hisia zao kwa kuwasaidia kutafuta maneno au jinsi ya kuwasiliana na wewe.