PIMPLES

CHUNUSI, PIMPLES OR ACNE

Chunusi ni ugonjwa wa ngozi unaoathiri glands or vifuko vya ngozi, ambao hujitokeza kama vipele vidogo vidogo kwenye sehemu za mwili kama vile {Usoni,kifuani,mikononi na mgongoni}.Vipele hivi hutokea wakati vishimo vya kupitisha jasho kwenye vinapozibwa na mafuta au cells za ngozi zinapokufa kwa bacteria.
Chunusi hujitokeza umri wowote na kuathiri sana vijana especially during adolescence.
Ukubwa wa kipele unategemea na ngozi ya mtu au kiasi cha mchanganyiko wa mafuta na kusababisha mabaka katika ngozi.

CHANZO CHA CHUNUSI

  • Umri
  • Vipodozi
  • Chakula
  • Dawa {Antibiotics,vidonge vya uzazi,steroids nk.}
  • Magonjwa
  • Mazingira
  • Jinsia {Wanaume huota sana chunusi kuliko wanawake}
  • Hormones {Wakati wa periods na ujauzito}
  • Usafi wa mwili {Sabuni zenye chemicals kali huongeza chunusi}
  • Mawazo 

Matibabu ya chunusi yanaondoa cells zilizokufa na kuua bacteria. Chunusi huweza kupona kwa kuacha mabaka ambayo huchukua muda kupotea.

NJIA ZA KUZUIA UOTAJI WA CHUNUSI

  • Osha uso kwa maji safi na sabuni japo mara mbili
  • Osha nywele zako kila baada ya kipindi kifupi
  • Kula mlo kamili na epuka vyakula vyenye mafuta mengi
  • Usibinye au kutoboa vipele kwa pini au kitu chenye ncha kali
  • Epuka kukaa sana juani, mwangaza wa asubuhi ni mzuri kwa vitamin D
  • Punguza mawazo.

STRETCH MARKS

Nimefikiria kuongea kuhusu stretch marks kwa sababu mbali mbali. Stretch marks ni mistari inayoota sehemu yoyote katika mwili wa binaadamu ambayo mafuta mengi yanakaa katika sehemu mbali mbali kama vile {Hips,tumbo,mapaja,chini ya mgongo,nyuma ya magoti,kifuani na kwenye mikono}. Stretch marks mara nyingi huota kutokana na mabadiliko ya hormones kwenye mwili,kipindi cha ukuwaji {adolescence},wakati wa ujauzito na kuongezeka mwili kutokana na unene ambapo ngozi inapanuka. Kwa mama wajawazito mara nyingi wanafanya stretch marks kwenye tumbo kutokana na ukuwaji wa tumbo lake. Watu wengine wanatumia creams mbali mbali na mafuta ya Bio oil, kwa kweli hakuna dawa au cream ambayo inaondoa stretch marks totally, ila zinafifia tu kwa muda lakini haziondoki. Unaweza ukaziwahi pale zinapoanza kuota kwa kufanya mazoezi na diet nzuri ya kupunguza mafuta. Kwa mujibu wa science stretch marks zinaota pale ngozi ya ndani inapojiacha na kupelekea ngozi ya nje kupanuka bila ya mpangilio maalum. 

Total views

Sunday, 3 November 2013

Social Icons