CHUNUSI, PIMPLES OR ACNE
Chunusi ni ugonjwa wa ngozi unaoathiri glands or vifuko vya ngozi, ambao hujitokeza kama vipele vidogo vidogo kwenye sehemu za mwili kama vile {Usoni,kifuani,mikononi na mgongoni}.Vipele hivi hutokea wakati vishimo vya kupitisha jasho kwenye vinapozibwa na mafuta au cells za ngozi zinapokufa kwa bacteria.
Chunusi hujitokeza umri wowote na kuathiri sana vijana especially during adolescence.
Ukubwa wa kipele unategemea na ngozi ya mtu au kiasi cha mchanganyiko wa mafuta na kusababisha mabaka katika ngozi.
CHANZO CHA CHUNUSI
Matibabu ya chunusi yanaondoa cells zilizokufa na kuua bacteria. Chunusi huweza kupona kwa kuacha mabaka ambayo huchukua muda kupotea.
NJIA ZA KUZUIA UOTAJI WA CHUNUSI

- Umri
- Vipodozi
- Chakula
- Dawa {Antibiotics,vidonge vya uzazi,steroids nk.}
- Magonjwa
- Mazingira
- Jinsia {Wanaume huota sana chunusi kuliko wanawake}
- Hormones {Wakati wa periods na ujauzito}
- Usafi wa mwili {Sabuni zenye chemicals kali huongeza chunusi}
- Mawazo
Matibabu ya chunusi yanaondoa cells zilizokufa na kuua bacteria. Chunusi huweza kupona kwa kuacha mabaka ambayo huchukua muda kupotea.
NJIA ZA KUZUIA UOTAJI WA CHUNUSI
- Osha uso kwa maji safi na sabuni japo mara mbili
- Osha nywele zako kila baada ya kipindi kifupi
- Kula mlo kamili na epuka vyakula vyenye mafuta mengi
- Usibinye au kutoboa vipele kwa pini au kitu chenye ncha kali
- Epuka kukaa sana juani, mwangaza wa asubuhi ni mzuri kwa vitamin D
- Punguza mawazo.