Nimefikiria kuongea kuhusu stretch marks kwa sababu mbali mbali. Stretch marks ni mistari inayoota sehemu yoyote katika mwili wa binaadamu ambayo mafuta mengi yanakaa katika sehemu mbali mbali kama vile {Hips,tumbo,mapaja,chini ya mgongo,nyuma ya magoti,kifuani na kwenye mikono}. Stretch marks mara nyingi huota kutokana na mabadiliko ya hormones kwenye mwili,kipindi cha ukuwaji {adolescence},wakati wa ujauzito na kuongezeka mwili kutokana na unene ambapo ngozi inapanuka. Kwa mama wajawazito mara nyingi wanafanya stretch marks kwenye tumbo kutokana na ukuwaji wa tumbo lake. Watu wengine wanatumia creams mbali mbali na mafuta kama Bio oil na cocoa butter, kwa kweli hakuna dawa au cream ambayo inaondoa stretch marks totally, ila zinafifia tu kwa muda lakini haziondoki. Unaweza ukaziwahi pale zinapoanza kuota kwa kufanya mazoezi na diet nzuri ya kupunguza mafuta. Kwa mujibu wa science stretch marks zinaota pale ngozi ya ndani inapojiacha na kupelekea ngozi ya nje kupanuka bila ya mpangilio maalum.
We STAND FOR HUMANITY, representatives of children and youth working in a field of Reproductive health and the fight of HIV/AIDS in particular and development, joined together, within the framework of the Children and Youth forum on “Greater and effective Youth Participation in Tanzania’s Development.
Total views
Wednesday, 14 May 2014
Nimefikiria kuongea kuhusu stretch marks kwa sababu mbali mbali. Stretch marks ni mistari inayoota sehemu yoyote katika mwili wa binaadamu ambayo mafuta mengi yanakaa katika sehemu mbali mbali kama vile {Hips,tumbo,mapaja,chini ya mgongo,nyuma ya magoti,kifuani na kwenye mikono}. Stretch marks mara nyingi huota kutokana na mabadiliko ya hormones kwenye mwili,kipindi cha ukuwaji {adolescence},wakati wa ujauzito na kuongezeka mwili kutokana na unene ambapo ngozi inapanuka. Kwa mama wajawazito mara nyingi wanafanya stretch marks kwenye tumbo kutokana na ukuwaji wa tumbo lake. Watu wengine wanatumia creams mbali mbali na mafuta kama Bio oil na cocoa butter, kwa kweli hakuna dawa au cream ambayo inaondoa stretch marks totally, ila zinafifia tu kwa muda lakini haziondoki. Unaweza ukaziwahi pale zinapoanza kuota kwa kufanya mazoezi na diet nzuri ya kupunguza mafuta. Kwa mujibu wa science stretch marks zinaota pale ngozi ya ndani inapojiacha na kupelekea ngozi ya nje kupanuka bila ya mpangilio maalum.
Social Icons