HEALTH FOOD FOR CHILDREN

VYAKULA VYENYE AFYA KWA WATOTO WENYE UMRI  1-4:

Mtoto wako akiwa na mwaka mmoja anaweza kula vyakula vya kawaida katika familia.Watoto wanaiga chakula anachokula mzazi, ukila chakula bora ikiwemo matunda na maji mengi mtoto pia ataiga.

JINSI YA KUMLISHA MTOTO:

  • Mtoto ana tumbo dogo na kiafya mtoto ale milo sita midogo kwa siku.
  • Mpe muda mrefu mototo anapokula.
  • Muache mtoto aamuwe kiasi gani anataka kula.
  • Mpe mtoto mtoto vyakula bora kama vile {Matunda.mbogamboga,samaki,nafaka na maziwa}.
  • Mpe mtoto chakula mbacho anaweza kula mwenyewe.
  • Chukua chakula unapoenda nae safari ikiwemo maziwa na matunda. 
  • Mpe mtoto maji au maziwa anapomaliza kula.

VYAKULA AMBAVYO HAVINA AFYA KWA MTOTO:
Vyakula visivyofaa kupewa mtoto ni {Chips,sausage rolls,meat pies, chicken nuggets nk. kwasababu mafuta yanakuwa mengi pamoja na chumvi.

  • Mtoto anakataa kula pale sahani yake ya chakula inapokuwa imejaa. 
  • Anapokuwa amekunywa maji mengi.
  • Anapotaka kula mwenyewe.
  • Anapokuwa amechoka.
  • Akiwa hajiskii vizuri.

Mtoto anahitahi kujifunza kula vyakula vipya, kama hajapenda jaribu tena siku nyengine. Muda mwengine mtoto anataka kula chakula cha aina moja tu, kuwa na subira kwasababu mtoto hawezi kukaa na njaa atakula tu.

VITU VYA KUEPUKA:
  • Usimforce  mtoto kula pale asipojiskia kula.
  • Usimpe mtoto kinywaji au kitafunio kabla ya chakula.
  • Usimpe mtoto vyakula vya kununua nje na vinywaji vyenye sukari nyingi.
  • Usimpe mtoto vyakula ambavyo atapaliwa kama vile njugu,pipi na popcorn.
  • Usimuache mtoto peke yake anapokula anaweza kupaliwa.
ANGALIA MENO YA MTOTO WAKO:
  • Vyakula na vinywaji vyenye sukari nyingi vinaozesha meno.

Familia nzima inashauriwa kula vyakula bora vinavyojenga mwili na afya njema.

Total views

Saturday, 2 November 2013

Social Icons