NI UMRI GANI WATOTO WACHANGA WANAACHA MAZIWA YA MAMA NA KUTUMIA MAZIWA YA NG'OMBE ?
Watoto chini ya umri wa mwaka mmoja wanahitaji virutubisho kutoka kwenye maziwa ya mama au formula. Ni vizuri pia mtoto mwenye zaidi ya mwaka mmoja kuendelea kutumia maziwa ya mama. Watu wengi wanawaachisha watoto wao kunyonya mapema na kuanza kuwapa low-fat na skim milk ambayo kiafya sio mazuri kwa watoto chini ya mwaka mmoja kwasababu watoto wanahitaji fat in whole milk kwa ku support normal growth kiakili wakati wanapoanza kutambaa. Katika umri wa mwaka mmoja mtoto anatakiwa aanze kula vyakula mbali mbali ikiwemo kunywa maziwa vikombe 2-3 kwa siku. Ikiwa maziwa ya ng'ombe au formula yanasababisha allergy au other disorders kwa mtoto wako onana na daktari.
What are your thoughts ? Please share with us.