READING BOOKS TO BABIES

Unaweza kushangaa ni faida gani zinatokana na kumsomea mtoto kitabu. Mtoto hawezi kufahamu nini unamwambia na nini unafanya pia huwezi kusubiri kumuona mtoto wako anaongea lakini unakuja kushangaa pale mtoto anapoanza kuongea in a way that unamfahamu.
Kusoma kwa sauti kwa mtoto wako is totally a wonderful shared activity that you can continue for years to come. 

FAIDA ZA KUMSOMEA KITABU MTOTO 

  • Unamfunza mtoto njia za mawasiliano.
  • Unamfundisha mtoto numbers, colours, alphabets ans shapes in a fun way.
  • Inajenga usikilizaji, uongeaji, kumbukumbu nzuri nk.
  • Unamjenga mtoto na ufahamu wa kujua vitu vilivyomzunguka, uwezo wa kufikiri na kujibu maswali.
Kawaida mtoto akifikia first birthday anajua almost maneno yote ambayo mengine hawezi kuyatamka vizuri lakini anatumia tone ambayo anafahamika nini anasema. The more stories you read aloud to your kid - the more words anapata kujifunza. Kusikia maneno inamjenga mtoto kuwa na network nzuri ya maneno kwenye ubongo. 

Please feel free to share your thoughts with us.

Total views

Friday, 18 April 2014

Social Icons