FOOD POISONING

Vyakula karibia vyote vina  virus, bacteria, au vimelea na kusababisha sumu kwenye chakula. Vyakula pia vinaweza kukufanya wewe mgonjwa kama ni machafu na dawa au sumu nyingine
Dalili ya kawaida ya sumu katika chakula ni pamoja na kutapika, kuharisha, tumbo kuuma, kichefuchefu na homa na hii huanza muda mfupi baada ya kula chakula kilichoharibika bila kujua. Kwa watu wengi dalili ni kali na hujitokeza haraka, lakini sumu ya chakula inaweza kusababisha upungufu wa maji mwilini, kushindwa kwa figo na hata kifo.

Vyakula vingi vyenye uwezo wa kusababisha ugonjwa ni pamoja na nyama mbichi au iliyopikwa  (E. coli), nyama ya nguruwe (bakteria na minyoo trichinella), kuku (Salmonella), dagaa ( hepatitis A na virus wengine  na bacteria), na mayai (Salmonella). Matunda na mboga yanaweza pia kuwa machafu na virus kama vile hepatitis A na vimelea. Maziwa yasiochemshwa na juice ya matunda (hasa apple cider) yanaweza pia kuwa machafu.

FOOD SAFETY GUIDE

Ugonjwa unaosababishwa na vyakula vimelea husababisha watu hadi milioni 81 ugonjwa kila mwaka, na karibu  magonjwa 9000 haya kusababisha vifo. Watoto ni miongoni mwa watu wengi ambao wapo katika hatari ya kupata ugonjwa kutokana na sumu ya chakula .
Kumlinda mtoto wako kutokana na wadudu wanaosababisha sumu kwenye chakula, ni muhimu kufanya mazoezi yafuatayo kwa kuhakikisha usalama wa chakula, ambao ni pamoja na kutokumpa mtoto wako chakula kilichopikwa na kuwekwa kwenye fridge kwa muda mrefu ikiwemo nyama, samaki au mayai; kuosha mikono yako na vyombo baada ya kushika kuku alokuwa hajapikwa na nyama ; kuosha matunda na mboga ; usimpe mtoto maziwa yalokuwa hayajachemshwa ; epuka kumpa  samaki wasiojulikana; si vyema kumpa mtoto hamburgers iwe ni mara chache tu ; chakula kilichobaki kwenye fridge na kilokaa kwenye joto la kawaida kwa masaa kadhaa sio kizuri kumpa mtoto.

FOOD PYRAMID

Pyramid ya Chakula ni juu ya makundi matano makubwa ya chakula, ambayo yote yanahitajika kwa ajili ya afya njema. Pia inasisitizwa kwamba vyakula vyenye  mafuta mengi na sukari vinatakiwa kutumiwa kwa kiasi kidogo.
Ingawa watu wengi wanapata msaada wa pyramid ya chakula, wengine wanafikiri kwamba ni vigumu kuelewa na inaweza hata kuwa moja ya sababu ya matatizo kwa watoto.
Nyama, Kuku, na Samaki  inatoa mfano mwingine nzuri na kile kinachotokana na vyakula mchanganyiko, kama pizza. Kwa mfano, kumpa mtoto pizza bila kuhesabu  kundi nafaka (mkusanyiko), kundi maziwa (cheese), na kundi mboga (nyanya).
Kama unaweza kuona, ni haraka mtu anapata utata wakati akijaribu kufikiri jinsi ya kiasi gani mtoto wake anakula kama unatumia Pyramid ya chakula kama mwongozo wa mipango ya mlo wa mtoto wako.

CONSTIPATION

100 %  remedy  for  constipation, try.

PIMPLES

CHUNUSI, PIMPLES OR ACNE

Chunusi ni ugonjwa wa ngozi unaoathiri glands or vifuko vya ngozi, ambao hujitokeza kama vipele vidogo vidogo kwenye sehemu za mwili kama vile {Usoni,kifuani,mikononi na mgongoni}.Vipele hivi hutokea wakati vishimo vya kupitisha jasho kwenye vinapozibwa na mafuta au cells za ngozi zinapokufa kwa bacteria.
Chunusi hujitokeza umri wowote na kuathiri sana vijana especially during adolescence.
Ukubwa wa kipele unategemea na ngozi ya mtu au kiasi cha mchanganyiko wa mafuta na kusababisha mabaka katika ngozi.

CHANZO CHA CHUNUSI

  • Umri
  • Vipodozi
  • Chakula
  • Dawa {Antibiotics,vidonge vya uzazi,steroids nk.}
  • Magonjwa
  • Mazingira
  • Jinsia {Wanaume huota sana chunusi kuliko wanawake}
  • Hormones {Wakati wa periods na ujauzito}
  • Usafi wa mwili {Sabuni zenye chemicals kali huongeza chunusi}
  • Mawazo 

Matibabu ya chunusi yanaondoa cells zilizokufa na kuua bacteria. Chunusi huweza kupona kwa kuacha mabaka ambayo huchukua muda kupotea.

NJIA ZA KUZUIA UOTAJI WA CHUNUSI

  • Osha uso kwa maji safi na sabuni japo mara mbili
  • Osha nywele zako kila baada ya kipindi kifupi
  • Kula mlo kamili na epuka vyakula vyenye mafuta mengi
  • Usibinye au kutoboa vipele kwa pini au kitu chenye ncha kali
  • Epuka kukaa sana juani, mwangaza wa asubuhi ni mzuri kwa vitamin D
  • Punguza mawazo.

STRETCH MARKS

Nimefikiria kuongea kuhusu stretch marks kwa sababu mbali mbali. Stretch marks ni mistari inayoota sehemu yoyote katika mwili wa binaadamu ambayo mafuta mengi yanakaa katika sehemu mbali mbali kama vile {Hips,tumbo,mapaja,chini ya mgongo,nyuma ya magoti,kifuani na kwenye mikono}. Stretch marks mara nyingi huota kutokana na mabadiliko ya hormones kwenye mwili,kipindi cha ukuwaji {adolescence},wakati wa ujauzito na kuongezeka mwili kutokana na unene ambapo ngozi inapanuka. Kwa mama wajawazito mara nyingi wanafanya stretch marks kwenye tumbo kutokana na ukuwaji wa tumbo lake. Watu wengine wanatumia creams mbali mbali na mafuta ya Bio oil, kwa kweli hakuna dawa au cream ambayo inaondoa stretch marks totally, ila zinafifia tu kwa muda lakini haziondoki. Unaweza ukaziwahi pale zinapoanza kuota kwa kufanya mazoezi na diet nzuri ya kupunguza mafuta. Kwa mujibu wa science stretch marks zinaota pale ngozi ya ndani inapojiacha na kupelekea ngozi ya nje kupanuka bila ya mpangilio maalum. 

EXERSICE

MAZOEZI NI MUHIMU KWA BINAADAMU.
Kitaalamu, wakati wote ni wa mazoezi ikiwemo wakati wa ujauzito, ambapo yanaweza kufanya maajabu.
Kwanza, mazoezi huongeza hisia za mwili wa mama, humsaidia mama kupata usingizi na hupunguza maumivu ya mgongo.
Pia, mazoezi kwa mama mjamzito humuandaa mama na kumpa nguvu wakati wa kujifungua.
 Mjamzito anapofanya mazoezi, hutanua misuli ya kiuno na ile ya njia ya uzazi. Mazoezi  huipa  nguvu na uvumilivu  misuli wakati wa kujifungua.
Misuli inapokuwa mwepesi, huwa ni rahisi mwili huo kurudi katika umbile lake la awali mapema mara baada ya kujifungua.
Mjamzito anapofanya mazoezi, huufanya moyo wake kupata mapigo mazuri na kupelekea mzunguko mzuri wa damu.
 Mazoezi humfanya pia mama mjamzito asiongezeke uzito na kumuepusha na pressure.
 Mazoezi haya huepusha wingi wa mafuta mwilini, na kuzuia maradhi ya mishipa ya damu kwa mjamzito.
 Mzunguko mzuri wa damu huepusha damu kuganda  tendo linalosababisha  kukwama kwa  usambazaji wa damu mwilini, (moyo, ubongo na mapafu).
Mazoezi yafuatayo ni mazuri kwa mama anayetarajia kupata mtoto. Ingawa baadhi ya mazoezi yanaweza yasiwe na matokeo mazuri kwa mama ambaye amebakiza siku chache za kujifungua.
Hata hivyo, mama anatakiwa kuhakikisha anawasiliana na daktari wake kabla hajafanya uamuzi wa aina ya mazoezi ya kufanya.

HEALTH FOOD FOR CHILDREN

VYAKULA VYENYE AFYA KWA WATOTO WENYE UMRI  1-4:

Mtoto wako akiwa na mwaka mmoja anaweza kula vyakula vya kawaida katika familia.Watoto wanaiga chakula anachokula mzazi, ukila chakula bora ikiwemo matunda na maji mengi mtoto pia ataiga.

JINSI YA KUMLISHA MTOTO:

  • Mtoto ana tumbo dogo na kiafya mtoto ale milo sita midogo kwa siku.
  • Mpe muda mrefu mototo anapokula.
  • Muache mtoto aamuwe kiasi gani anataka kula.
  • Mpe mtoto mtoto vyakula bora kama vile {Matunda.mbogamboga,samaki,nafaka na maziwa}.
  • Mpe mtoto chakula mbacho anaweza kula mwenyewe.
  • Chukua chakula unapoenda nae safari ikiwemo maziwa na matunda. 
  • Mpe mtoto maji au maziwa anapomaliza kula.

VYAKULA AMBAVYO HAVINA AFYA KWA MTOTO:
Vyakula visivyofaa kupewa mtoto ni {Chips,sausage rolls,meat pies, chicken nuggets nk. kwasababu mafuta yanakuwa mengi pamoja na chumvi.

  • Mtoto anakataa kula pale sahani yake ya chakula inapokuwa imejaa. 
  • Anapokuwa amekunywa maji mengi.
  • Anapotaka kula mwenyewe.
  • Anapokuwa amechoka.
  • Akiwa hajiskii vizuri.

Mtoto anahitahi kujifunza kula vyakula vipya, kama hajapenda jaribu tena siku nyengine. Muda mwengine mtoto anataka kula chakula cha aina moja tu, kuwa na subira kwasababu mtoto hawezi kukaa na njaa atakula tu.

VITU VYA KUEPUKA:
  • Usimforce  mtoto kula pale asipojiskia kula.
  • Usimpe mtoto kinywaji au kitafunio kabla ya chakula.
  • Usimpe mtoto vyakula vya kununua nje na vinywaji vyenye sukari nyingi.
  • Usimpe mtoto vyakula ambavyo atapaliwa kama vile njugu,pipi na popcorn.
  • Usimuache mtoto peke yake anapokula anaweza kupaliwa.
ANGALIA MENO YA MTOTO WAKO:
  • Vyakula na vinywaji vyenye sukari nyingi vinaozesha meno.

Familia nzima inashauriwa kula vyakula bora vinavyojenga mwili na afya njema.

FOOD HEALTH

AFYA YA CHAKULA KWA MTOTO:

Maradhi yanayosababishwa na vyakula ambavyo havijatayarishwa vizuri yanapelekea idadi ya watu  million 81 kupata maradhi kila mwaka, na takriban watu 9000 wanapoteza maisha kutokana na maradhi haya. Watoto wapo hatarini zaidi kupata maradhi kutokana na chakula kibovu.
Kumlinda mtoto wako dhidi ya bacteria ambao wanasababisha kuharibika kwa chakula,ni muhimu kutumia njia salama za kuhifadhi chakula, ikiwemo kumuepusha na chakula kilichokuwa hakijapikwa vizuri au kisichohifadhiwa kwenye friji kama vile nyama,samaki au mayai. Safisha mikono yako,vyombo vya mtoto pia kosha matunda vizuri. Usimpe mtoto maziwa ambayo hayajachemshwa na juice na chemicals.Usimpe mtoto chakula kilichokaa sana kwenye fridge na kwenye joto vitampelekea kuharisha na kupoteza kinga mwilini.

VITAMINS AND MINERALS

Vitamins and Minerals

It is estimated that a daily multivitamin is given to 25-50% of children, although this is generally not necessary for most children with an average diet. Some children that have a poor or restricted diet, liver disease or other chronic medical problems, especially those that lead to fat malabsorption, such as cystic fibrosis, may need vitamin and mineral supplements to prevent deficiencies.Preterm infants and children who are exclusively breastfed may also need vitamin supplements.

Also, children may need fluoride supplements if they do not drink fluoridated water.

Although you may give your child an age appropriate multivitamin if you or your Pediatrician feels that your child needs one, it is probably better to try and reach his daily requirements or recommended daily allowance by providing him with a well balanced diet. Consuming a diet with the minimum number of servings suggested by the Food Guide Pyramid will provide your child with the recommended daily allowance of most vitamins and minerals.

Vitamin A

Milk and infant formulas are excellent sources of Vitamin A, which is a fat soluble vitamin. A deficiency can occur in children with fat malabsorption or with a very poor diet. Too much Vitamin A can also be harmful.

Vitamin C

Although many parents exceed the recommended daily requirements of Vitamin C to prevent colds and u
pper respiratory tract infections, there is little research that supports this practice. Too little Vitamin C can lead to scurvy, which is now uncommon, but can occur in infants under one year of age who are exclusively fed cow's milk. Fruits and vegetables are excellent sources of Vitamin C.

Iron

Iron is another mineral that is important for your child's growth. Having a diet with foods that are high in iron to meet daily requirements is necessary for the development of strong muscles and production of blood. It is generally good to choose foods high in iron. Younger children require about 10 mg of iron each day, while older children and adolescents need about 12-15 mg a day.

Calcium

Add caption

Calcium is a mineral that is mostly present in your child's bones. Having a diet with foods that are high in calcium to meet daily requirements is necessary for the development of strong bones. It is also an important way to prevent the development of osteoporosis in adults. Younger children require about 800 mg of calcium each day, while older children and adolescents need about 1200 -1500 mg 
a day.

Vitamin K

Vitamin K is a fat soluble vitamin that is necessary for proper blood clotting. It can be deficient in some newborn babies,
especially if they did not receive a Vitamin K shot after they were born and they are being breastfed.

Vitamin D

Vitamin D is another fat soluble vitamin that can be deficient, causing Rickets, in some infants that are exclusively breastfed, especially if they have very dark skin or if they have limited exposure to sunlight. Vitamin D is mostly found in fortified foods, such as milk and infant formulas.
There was once thought to be little need for supplements of Vitamin D in most children if they have sunlight exposure, although the AAP now recommends that all children receive Vitamin D supplements..

Fluoride

All children need supplemental fluoride after they are six month sold to help prevent cavities. For most children, they can get this fluoride from the water they drink, if they are in an area where the city water supply has an adequate amount of fluoride in it (greater than 0.6 ppm), and they are drinking tap water.

Sources of water that generally don't have enough fluoride include well water and filtered or bottled water, although some brands of bottled water (or nursery water) do have fluoride added to it.

Zinc

Zinc is an important mineral, especially for adolescents, as it helps with growth and sexual maturation. Infants require about 3-5 mg of zinc each day, while adolescents need about 10 -15  1 mg.
Foods high in zinc include meats, seafood, dairy products, whole grains, breads and fortified cereals, nuts and dried beans.

KIDS AND BREAKFAST

KIDS AND BREAKFAST

Do your kids eat breakfast?
By many reports, 40% of kids don't.
But everyone knows that breakfast is the most important meal of the day, right?
Here is some proof:
  • The State of Minnesota Breakfast Study showed that 'students who ate breakfasts before starting school had a general increase in math grades and reading scores, increased student attention, reduced nurse visits, and improved student behaviors'
  • Children who eat a healthy breakfast 'meet their daily nutritional needs, keep their weight under control, have lower blood cholesterol levels, attend school more frequently, and make fewer trips to the school nurses office complaining of tummy aches.'*
  • Kids 'who eat breakfast are more likely than children who skip breakfast to consume foods with adequate levels of minerals, such as calcium, phosphorus, magnesium, and vitamins, such as riboflavin, vitamins A, C, and B12, and folate.'*

Total views

Wednesday, 27 November 2013

Thursday, 7 November 2013

CONSTIPATION

100 %  remedy  for  constipation, try.

Sunday, 3 November 2013

Saturday, 2 November 2013

Friday, 1 November 2013

Social Icons